Huku ni kudanganyana tu>>>

Mbona hata wanaume wanafanyaga hayoooo... Mm utachagua katsha mchezo kabisa o pokea cm.....mmmmmmxxxxxxxew
 
Lol, raha ya kudanganywa udanganyike kijana. Hebu tulia huko. Sasa kama aliefadhili simu, ama alielipia bundle ndo kam-whatsup yeye afanyaje? Wakimpokonya hata hiyo simu utamkosa na sms na kubeep, shairilo
 
Hao ndio huwa nawapenda mimi,,nawafanya wa kimichezo zaid,,yan ni wa kuwala sambusa tuh na kuwaacha,,

wife material karne hizi ni nadra sana

dah ati kuwala sambusa asa kwenye tangent line siatakuwa busy na cm tu ama ? wakati wa kugegeda sambusa anazima cm ama mweeeeeeeeee atasalimika mtu hapa ngoja nipike mboga ntarudi badae
 
Duh, jamaa una hasira sana na hii tabia aisee!
Ulichozungumza ni kweli na kimetokea na kinaendelea kutokea kwa wengi, dada zetu mbadilike,
 
Back
Top Bottom