Huku ni kucheza kwa aina gai??

Venant Ben

Senior Member
Nov 29, 2010
155
10
kls-wmk.php.jpg
kls-whp.jp.jpg
 
Mie nahizi michezo ya kikubwa tete tehhhhhhhhhhhh.:A S 2152::A S 2152::A S 2152:
 
Huyo jamaa wa picha ya kwanza hadi kalegeza macho, inaonekana hapo nyonga ilikuwa inazungushwa kama feni
 
Na huyo mdada wa picha ya chini mbona ameshika viatu mkononi kama wanacheza mchiriku
 
Dume, salama, familia, sharp na nyingine sidhani kama mifukoni wanazo hao jamaa
 
Back
Top Bottom