Kwangu mimi, being in couple is the highest form of relationship that a man and a woman can attain. Uhusiano ukivunjika, ndio mwisho wa kila kitu. Binafsi huwa sitaki tena habari na ma-Ex wangu. Labda kama mna watoto I can understand, ila vinginevyo kuna biashara gani tena.
Kwa hiyo na wewe ukipigiwa saa tisa usiku unapokea?
Huna mipaka wewe?
huyu binti anampenda huyo mwanaume ndo maana anaentartain ujinga...Asitake tuamini kuwa ndio wale ambao 'aachwi mtu' mtu ana move on huku anaendelea kukumbushia kwa wote waliotangulia...itakuwa hatareee...
Ex wangu kabla ya hubby wala sijuhi yuko wapi anafanya nini na wala sitaki kujua...what for???? eti just friends...just dada????
Kwangu mimi, being in couple is the highest form of relationship that a man and a woman can attain. Uhusiano ukivunjika, ndio mwisho wa kila kitu. Binafsi huwa sitaki tena habari na ma-Ex wangu. Labda kama mna watoto I can understand, ila vinginevyo kuna biashara gani tena.
Umeona eehh...Dada achana na huyo hana mpango...utazeeka unamsubiri kuwa labda atakurudia wakati wanaume wako kibao...funguka angalia ustaharabu mwingine...
Kwanza sijapenda neno alilotumia...'matapishi' nani matapishi sasa?
Huyo anataka uwe wa pembeni...usipokuwa makini utatumiwa wewe afu atakuacha kwenye mataa na utakuwa huna wa kumlaumu kwa kuwa alishakukanya kuwa wewe ni matapishi.
Kama alikuona mzuri jua wapo kama 10 ambao pia watakuona mzuri...lakini huwezi kuwaona kama bado unaendelea kuchat na hicho kiwingu. Tena wamemzidi yeye kwa vigezo vyote...
Asitake tuamini kuwa ndio wale ambao 'aachwi mtu' mtu ana move on huku anaendelea kukumbushia kwa wote waliotangulia...itakuwa hatareee...
Ex wangu kabla ya hubby wala sijuhi yuko wapi anafanya nini na wala sitaki kujua...what for???? eti just friends...just dada????
ameshafika kuleee mwelekeze aende wap sa hiv !!!!!hana lolote huyo........aende kuleee