leez salu
Member
- Oct 2, 2013
- 35
- 8
Mimi ni msichana.Nilikuwa na mpenzi wangu tumedumu mda mrefu lakini kwa mipango ya mungu tumeachana.tatizo ni kaomba tuwe kaka na dada.ananipigia simu saa 9 usiku.anantumia ujumbe wa mapenzi simuelewi.wakati tunaachana alisema wazi siwezi kurudia matapishi.basi nkaendelea na maisha yangu.lakini ndo hivyo kila saa dada mzima shemeji ajambo.yaani simuelewi.mimi ndo msichana wake wa kwanza ndo nilimfundisha mapenzi.