Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 12,212
- 17,005
Habari WanaJF
Napenda kuwasilisha mada kama kichwa kinavyosema, nilikuwa mfanyakazi wa kampuni fUlani, ilipofika mwaka 2013. Mambo yaliharibika maana nilifukuzwa kazi. Lakini cha kushangaza ninao rafiki zangu walikuwa wafanyabiashara wakubwa, kipindi cha awamu ya 5 walipata misukosuko hadi biashara zao kukata.
Cha kushangaza pamoja na kujua nina hali mbaya wao wananiona nina pesa kutwa kwangu kulialia, wakati hapa nilipo hata mke alinikimbia naona alifuata pesa. Wao bado wanaishi na wake zao. Hii ndio nini?