Huku ndio kula bata

Alaf ndio useme et bongo ukiwa na hela kama ulaya!
kiwanja gan cha kula bata bongo au east africa pako kama hapo?
 
Umeshafikilia hiyo sehemu ikiporomoka kwa tatizo la kiufundi!! Hata kwenye titanic watu walikula bata, lakini mwishoni na wao wakaliwa na samaki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…