Huku nchi ya viwanda, kule mapambano dhidi ya vyama vya upinzani,Tushike lipi? Hatufikia hivyo viwa

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,252
8,003
Serikali inataka kujenga mgogoro na vyama vya upinzani badala ya kuomba ushirikiano matokeo yake itakua bize mchana kutwa kuhangaika nao mwishowe hata Sera ya viwanda haitafanikiwa, itasahaulika kabisa.

Niseme tu kwamba sasa serikali itakua na shughuli mbili kwa mpigo,yaani kupambana na upinzani na kutekeleza Sera ya viwanda! Nina uhakika ile methali isemayo "MSHIKA MBILI MOJA HUMPONYOKA" ndicho kitakachoikuta serikali ya sasa. Miaka mitano sio mingi inafika huku serikali ya CCM haina chochote mkononi cha kuwaeleza Watanzania.

Inawezekana wapinzani nao wameshaligundua hili na inawezekana kabisa wakaiona hii kama fursa ya kujiimarisha, wanaweza kuifanya serikali iwe bize kuhangaika nao ili isitekeleze majukumu yake yote kwa kipindi chote cha miaka mitano.Magufuli rais wangu ameingia kwenye hii vita unaweza kumtengenezea historia mbaya sana ndani ya maisha yake.
 
Kwa mwenendo huuu sio Tanzania ya viwanda, kabda viwanda vya kutengeneza viungo bandia baada ya kuwavunja miguuu wanannchi
 
Back
Top Bottom