Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,094 Mar 21, 2015 #1 Mchepukoni Nyumbani Penzi la dhuluma, mizania ya ubatili, makovu tele moyoni
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,094 Mar 22, 2015 Thread starter #2 Ndoa nyingi na mahusiano ya kimapenzi havidumu kwasababu ya usaliti na udanganyifu
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Mar 22, 2015 #3 Ndoa isipokuwa na usaliti na kukawa na mapenzi ya kweli, huwa ni tamu sana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,094 Mar 22, 2015 Thread starter #4 BIGURUBE said: Ndoa isipokuwa na usaliti na kukawa na mapenzi ya kweli, huwa ni tamu sana Click to expand... Hakuna passwords kwenye call log, phone book na msg wala call divert, wala call barred! Hakuna kushtuka ikiingia msg wala simu ikiita, hakuna silence mode yani ni full shangwe
BIGURUBE said: Ndoa isipokuwa na usaliti na kukawa na mapenzi ya kweli, huwa ni tamu sana Click to expand... Hakuna passwords kwenye call log, phone book na msg wala call divert, wala call barred! Hakuna kushtuka ikiingia msg wala simu ikiita, hakuna silence mode yani ni full shangwe
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Mar 22, 2015 #5 Aisee. ....
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,094 Mar 22, 2015 Thread starter #6 kabanga said: Aisee. .... Click to expand... kabanga...! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016