ONYO:
Kuna mtindo utaanza kujitokeza muda si mrefu kwa baadhi ya wenzetu kuanza kutuma picha zinazoonesha aina ya chakula wanachokula huko home kwao. Tafaddhali msifanye hivyo maana wengine Christmas imetuijia vibaya. Pesa haionekani kama kaburi la faru John.
Naomba tuvumiliane katika hili maana shibe yako isije geuka kuwa kero kwa wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.