Huku kukumbatia nako kuna matata yake

Huku kukumbatia nako kuna matata yake

Mie nilimpa mkono mtu kama salamu yeye akarudisha mkono wake nyuma. Niijihisi kama nimejinyea aisee. Si uungwana kudhalilishana in public kwa kweli!
Kuna wengine hawatoi mikono kwa sababu za kiimani hasa anapokuwa ni wa jinsia pinzani. Hivyo kabla hujatoa mkono unashauriwa kuangalia upepo.
 
Hahah!! Na mie ishanitokea hiyo mara kibao iv. Mostly inasababishwa na misimamo ya kidini na kiimani ase
 
Mmmmh hug na jinsia tofauti? Huo dada hakupenda hilo jambo
 
Kuna wengine hawatoi mikono kwa sababu za kiimani hasa anapokuwa ni wa jinsia pinzani. Hivyo kabla hujatoa mkono unashauriwa kuangalia upepo.

Alikuwa wa jinsia yangu kabisa. Wengine ni kujiona au masharti ya waganga wao...ovyo...!!
 
sio kila mtu una mu HUG,huyo rafiki yako stahili yake,una hug mtu wako wa karibu sanaaa,kama Dad,Mama,mumewako,dadako,kaka,rafiki yako wa karibu sana,sio kila unaemuona una hujamzowea unafungua mikono...


mi huwa nashangaa mtu mwingine sio rafiki hata hujamzoea kivile but akikuona waaaaah . khhhaaa nampiaha mie mhagi mtu ambaye kweli yukaribu nawe na umemmiss sio hovyoooohovyooo tuuu
 
si tabia nzuri kukwepa .. hata kama humpendi ni bora tu ujikaze umhug kwa sababu u loose nothing from that

yeah there you are wote wana makosa yule angalimpa hagi nyembamba ile ya kishkaji maana zinatofautiana aina . Ila jamaa sikumwacha nilikuja kumwambia kimtindo maana nilifedheheka sana
 
Alikuwa wa jinsia yangu kabisa. Wengine ni kujiona au masharti ya waganga wao...ovyo...!!

Hao wapo makazini kama ni senior kidogo mzoefu we mgeni ama anakacheo au access na mabosi hata salamu wengine hukausha kama anakudharau kwa position yako kazini. utashanga siku ukikabidhiwa wadhifa juu au karibu yake anakuchangamkia , au akaja kujua bosi mkuu anakukubali
 
Alikuwa wa jinsia yangu kabisa. Wengine ni kujiona au masharti ya waganga wao...ovyo...!!
Inawezekana pia hakumaanisha kukunyima mkono ila kwa sababu ya mawazo wenzetu wanaita "absent minded ness" unamuona mtu unadhani kakuona kumbe yupo mbali kabisa katikati ya lindi la mawazo.
 
Sio kila mtu wa kuhug bana wengine hupenda kuguswa na vifua vya wadada
 
Back
Top Bottom