Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Ku-hug ni salam nzuri yenye kuambatana na ukaribu wa wahusika ingawa wapo wanaopenda na wapo wanaochukia ama kubagua watu kwenye ku-hug.
Kimsingi ku-hug kunahusisha hisia kali ya undugu ama ujirani ndio maana watu hutokwa chozi, wengine kufunga macho alimradi kuna hisia.
Awali nilikuwa sipendi hadi nilipokuja kuishi mjini kuna jamaa yangu anapenda kumhug kila mtu, sasa siku moja ikawa fadhaa, alitaka kum-hug mdada mmoja.
Yule mdada akamkwepa wakati ameshafungua mikono kumhug niliona fedheha sana kwa kuwa jamaa yangu aliishiwa nguvu kwa aibu.
Jamani mtu ana-ku-hug unafanya nyodo maana yake nini? Unamtia mtanashati mwenzio aibu mbele za watu, ama kuna kanuni gani katika ku-hug? Tujuzane hizo kanununi.