Huku kuchat kumewatoa akili watu............

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,814
34,196
Huku kuchat kumewatoa akili watu.jpg
 
Ha ha ha! Nimeikumbuka ile style ya watoto kukatia gogo kwenye miguu kama hivyo. Hivi imepotelea wapi hii? Au ujio wa zile pots umeiua hii style? Ulikuwa ubunifu mzuri. Vitoto vilikuwa vina enjoy sana!
 
Pots imeharibu pots zetu za asili
 
Style ya mtoto kukata gogo miguu inachanua na mtoto hafungwi, tena mtoto anaangalia upande wa mama.
Huoni miguu imeachanishwa hapo? Af uelekeo hauathiri ukataji. Kwani wewe ukiingia chooni af ukageukia uelekeo tofauti na wa watu wengine utashindwa kujisaidia?
 
Huoni miguu imeachanishwa hapo? Af uelekeo hauathiri ukataji. Kwani wewe ukiingia chooni af ukageukia uelekeo tofauti na wa watu wengine utashindwa kujisaidia?

Ukiingalia hiyo picha dogo alivyofungwa na alivyokaa kwa kurelax haionyeshi kabisa kwamba dogo anakata gogo.

Anyway, najua unabisha unachokijua kumtetea dada wa watu.
 
Pots imeharibu pots zetu za asili
Ha ha ha! Kweli aisee. Mama alijifungua wadogo zangu mapacha wa kike mwaka 1993. Sasa, ilikuwa anatugawanyisha mimi na bro wangu mtoto mmoja kila mtu. Sasa, kwenye kukata gogo unakaweka style fulani hapo miguuni. Kenyewe basi kanachekeleaa...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom