Huko Uswahilini ni Balaa!

Mbona hakuna cha ajabu hapo.Ndiyo maana hata dukani mtu kujipima kwanza kabla ya kununua anaruhusiwa!
Mkuu ni duka gani hilo na wapi wanakoruhusiwa kujaribu "pichu" kabla ya kununua?
 
Joto kali lakini wanawake waliokulia Pwani sio umtoe Moshi ama Mbeya thubutu hawezi ujinga huo
 
Mchora katuni Mungu anakuona..
Hii watu kibao watakuwa wameshaipigia puli sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…