Trump alipimwa kwa udhubutu wa kufanya mambo ambayo hakuna mtu mwingine angeweza kufanya. Tutarukaruka lakini Trump aliweza kukanyaga moto kwa miguu, tena pekupeku. Angepata nafasi, angeiba uchaguzi wa US kwa mara ya kwanza.Kama Trump nae alipimwa kwa hivi vigezo basi US kazi wanayo
Utasikia wengine wakichagiza... "sisi ni taifa huru, wasitubabaishe! Tunataratibu zetu...""... tuachie siasa na taasisi yetu ndiyo uafrika wetu huu, hao wenyewe wana matatizo yao sisi tuna yetu."
Hii ndiyo kauli ya waafrika pale wanapoona wameshindwa jambo na wanatafuta wa kumtupia lawama, hapa tulipo bado tunahitajk hao wakoloni watusaidie unategemea nini la ajabu kutoka kwake?.
Umenichekesha sana. Trump hakupimwa kwa uwezo wake, bali alikuwa ni alternative yao kwa Hillary hasa wale waliokuwa wanachukia kutawaliwa na Obama mweusi, hawakupenda kutawalia na mwanamke! Kwa hiyo wakaangukia yoyte aliyekuwa mwanaume mweupe bila kujali alikuwa na uwezo gani.Kama Trump nae alipimwa kwa hivi vigezo basi US kazi wanayo
Trump alishinda kwa sababu ya mambo matatu kama si manne...Trump alipimwa kwa udhubutu wa kufanya mambo ambayo hakuna mtu mwingine angeweza kufanya. Tutarukaruka lakini Trump aliweza kukanyaga moto kwa miguu, tena pekupeku. Angepata nafasi, angeiba uchaguzi wa US kwa mara ya kwanza...
Mkuu, siyo kwa wote ingawa wapo smart sana kwenye issue ya Uraisi.Africa tuna safari ndefu sana mithili ya safari ya kwenda Mars.
Ni hivi huko duniani kuwa Rais wa Taifa sio lele mama yani baba unapimwa uwezo wako yani utapigwa maswali wewe na wazee waliopiga kitabu wakatoka moshi kichwani...
Societal system huwa zinafeli... Trump kuwa rais US ni uthibitisho wa kuwa systems zilifeli fedha ikachukua hatamu!Mkuu, siyo kwa wote ingawa wapo smart sana kwenye issue ya Uraisi......
Ila kwa Trump sina hakika sana...
Hizi ni porojo mjomba......Huko nje ni America tu tena ya kusini vipi mabara mengine sita ukiondoa Africa n yenyewe yako hivyo au ujuaji ni mwingi kwa habari za magazeti .......je USA ina marais wangapi mpaka sasa unazijua record zao,vipi hao makamu wa Rais waliopata Urais baada ya Rais kuuwawa walipimwa lini.......TUACHE UJUAJI NA POROJOAfrica tuna safari ndefu sana mithili ya safari ya kwenda Mars.
Ni hivi huko duniani kuwa Rais wa Taifa sio lele mama yani baba unapimwa uwezo wako yani utapigwa maswali wewe na wazee waliopiga kitabu wakatoka moshi kichwani....
Sasa hata kama angejulikana mwaka mmoja kabla kwa africa itasaidia nini?Sasa Afrika ya Tanzania mgombea hajulikani hadi siku 90 TISINI au pungufi kabla ya uchaguzi. Unahisi muda utapatikana wa kuhoji mambo ya msingi??
Au unahisi huyo aloteuliwa na chama chake atakuwa ana majibu ya papo kwa papo?
Unakumbuka akina wale waliotaka midahalo
Ndiyo maana naunga mkono mabadiliko ya Katiba!
Tubadililike
Mungu mbariki MzunguSerikali za ukoloni mlizikataa, na hizi zenu hamzitaki tena. Zimeshawaboa kabisa. Si mngemuacha mkoloni aendelee kutawala? Yule Turnbull angeendelea tuu kubaki kumwakilisha Malkia wa Uingereza mpaka mtakapokuwa tayari kujitawala. Ndiyo nchi za West Indies zilivyofanya na leo wamejenga taasisi imara na demokrasia ya kweli.
Kwani ni kweli yule jamaa ni mtambo?!Kama Trump nae alipimwa kwa hivi vigezo basi US kazi wanayo
Usisahau Russian intrusion kwenye mifumo ya computer.Trump alishinda kwa sababu ya mambo matatu kama si manne...
1. Mfumo dume....
Unafikiri huko kwa wenzetu watu huwa wanabondana tu kijinga kama nyie mnavyobondana hapo kibaigwa?Uongo mwiiingi,bush alikuaga anambonda mkewe bi. Laura mpk anakimbilia kwenda kulala hotelini.