Huko anakokwenda.....

Huko anakokwenda.....

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
<big id="yui_3_7_2_1_1380337194573_2527">
</big>[h=2]<big id="yui_3_7_2_1_1380337194573_2688"></big> .......USALAMA UPO?[/h]
 
Huyo ni damu ya kizungu, curiosity yao ni kubwa kiasi cha kujitoa ufahamu! By the way ni ndugu zake Yesu, hawana la kuhofia!
 
Anaempiga picha kwa nini asimzuie?? we mtoto wa mzungu....,usiende huko.Do you know swahili?
 
Msihofie usalama wa huyo mtoto. Hapo sio Manzese Darajani! Wenzetu wanajua namna ya kulinda sehemu zote zinazoweza kuficha vibaka, wezi na wabaya wote. Si ajabu ndani ya hilo linaloonekana ni pango cctv camera zimejaa kibao!
Kibaka anayeingia huko ndani anadakwa muda huohuo. Wenzetu wmeendelea kwa kila kitu:uchumi, teknolojia, ulinzi nk
 
Back
Top Bottom