Inasikitisha sana.kwa mtindo huu Tanzania kuendelea ni vigumu mno.mawaziri wenyewe wanaoneana wivu,mafisadi wanaachwa watambe..yani utafikiri tumelogwa
Tungeweza hata 'kuazima' utaratibu wa wenzetu wa kutumia kadi. Zifungwe system zitakazo-charge kadi ya mtu pale anapotumia usafiri huo, na siyo kumtegemea bwana konda. Na mtu ata-load kadi yake na pesa kama anavyofanya kwenye simu, kuwa aweke kutokana na uwezo wake na siyo kung'ang'aniza kuwa kuna kadi ya elfu tano na elfu kumi tu!
Anyways, safari hatua.