Hujuma za star tv!!

Hujuma za star tv!!

samirnasri

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
1,388
Reaction score
215
leo start tv wamepotezea taarifa inayohusu kampeni za chadema ze udiwani kata ya kirumba mwanza baada ya kuona maelfu ya watu walioudhuria tofauti na mkutano wa ccm ambao ulikuwa na watu wachache ukilinganisha na wa chadema licha ya waziri ngereja kucheza kwaito jukwaani.
 
hahaha.... we mkali wewe.
 
Hapa ndipo umuhimu wa kuanzisha CDM TV and Radio unapokuja. Sijui viongozi wanalifikiriaje hili? Kama Chama hakina bajeti ya hili, waseme tupitishe mchango, tunashindwa nini?????
 
kila kitu kina mwisho hapa diniani, kuchagua ccm yakupasa uwe umekunywa maji ya maiti!
 
leo start tv wamepotezea taarifa inayohusu kampeni za chadema ze udiwani kata ya kirumba mwanza baada ya kuona maelfu ya watu walioudhuria tofauti na mkutano wa ccm ambao ulikuwa na watu wachache ukilinganisha na wa chadema licha ya waziri ngereja kucheza kwaito jukwaani.

Toeni hela mrushiwe habari zenu acheni ubahili si mna hela za sadaka nyie za naura spring ziko wapi?
 
Hv ngereja anaweza kupanda jukwaani na kuongea!? Hii dunia imekwisha
 
Back
Top Bottom