manchester
Member
- Sep 3, 2010
- 54
- 3
Kila Mtanzania anayepiga simu mtandao wowote, asilimia kumi (10%) ya huo muda wa maongezi, fedha hizo zinaenda kuchangia Kampeni za CCM. Kudhihirisha hili, mtu yeyote mwenye simu, chukua simu yako, nenda kwenye sehumu ya kuandika ujumbe mfupi (SMS); kisha andika neno "HAPANA" na tuma ujumbe huo kwenda namba "15016." Utapokea ujumbe huu "Asante kwa ujumbe wako, utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na CCM."Hii ni hujuma tunayofanyiwa watumiaji wa huduma za mawasiliano bila ridhaa yetu au kujulishwa hivyo na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Kesho yake, October 14,2010, nadhani baada ya wahusika kushtukia idadi ya watu watu wanaojiondoa kwenye huduma hii; na nilipokuwa najiondoa kwenye hujuma hii kwa kutumia lini yangu ya Zain & Zantel, nilipokea ujumbe huu "Asante kwa ujembe wako kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma. Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM." Ujumbe huu wa pili nauona kama ujanja wa kuwapumbaza watu kwani mantiki yake imevurugwa kwa maksudi. Hata hivyo cha msingi hapa tusiangalie nyuma, tumeshahujumiwa, dawa ni kujiondoa maana kujiondoa kwenye hujuma hii ni bure. Mjulishe ndugu na rafiki yako tafadhali.
Nimejarribu na ujumbe huu ukanijia right now.....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kila Mtanzania anayepiga simu mtandao wowote, asilimia kumi (10%) ya huo muda wa maongezi, fedha hizo zinaenda kuchangia Kampeni za CCM. Kudhihirisha hili, mtu yeyote mwenye simu, chukua simu yako, nenda kwenye sehumu ya kuandika ujumbe mfupi (SMS); kisha andika neno "HAPANA" na tuma ujumbe huo kwenda namba "15016." Utapokea ujumbe huu "Asante kwa ujumbe wako, utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na CCM."Hii ni hujuma tunayofanyiwa watumiaji wa huduma za mawasiliano bila ridhaa yetu au kujulishwa hivyo na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Kesho yake, October 14,2010, nadhani baada ya wahusika kushtukia idadi ya watu watu wanaojiondoa kwenye huduma hii; na nilipokuwa najiondoa kwenye hujuma hii kwa kutumia lini yangu ya Zain & Zantel, nilipokea ujumbe huu "Asante kwa ujembe wako kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma. Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM." Ujumbe huu wa pili nauona kama ujanja wa kuwapumbaza watu kwani mantiki yake imevurugwa kwa maksudi. Hata hivyo cha msingi hapa tusiangalie nyuma, tumeshahujumiwa, dawa ni kujiondoa maana kujiondoa kwenye hujuma hii ni bure. Mjulishe ndugu na rafiki yako tafadhali.
nimejaribu naona si kweli hakuna jambo kama hilo kuandika neno hapana kwenda namba ya simu 15016
Ni ukweli kiongozi tumia herufi kubwa . Mie pia kwanza ilinigomea mara ya pili imekubari baada ya kuweka herufi kubwa.nimejaribu naona si kweli hakuna jambo kama hilo kuandika neno hapana kwenda namba ya simu 15016
With all due respect. wewe ni mtuhumiwa namba tatu baada ya CCM na Makampuni ya simunimejaribu naona si kweli hakuna jambo kama hilo kuandika neno hapana kwenda namba ya simu 15016
Kila Mtanzania anayepiga simu mtandao wowote, asilimia kumi (10%) ya huo muda wa maongezi, fedha hizo zinaenda kuchangia Kampeni za CCM. Kudhihirisha hili, mtu yeyote mwenye simu, chukua simu yako, nenda kwenye sehumu ya kuandika ujumbe mfupi (SMS); kisha andika neno "HAPANA" na tuma ujumbe huo kwenda namba "15016." Utapokea ujumbe huu Asante kwa ujumbe wako, utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na CCM.Hii ni hujuma tunayofanyiwa watumiaji wa huduma za mawasiliano bila ridhaa yetu au kujulishwa hivyo na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Kesho yake, October 14,2010, nadhani baada ya wahusika kushtukia idadi ya watu watu wanaojiondoa kwenye huduma hii; na nilipokuwa najiondoa kwenye hujuma hii kwa kutumia lini yangu ya Zain & Zantel, nilipokea ujumbe huu Asante kwa ujembe wako kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma. Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM. Ujumbe huu wa pili nauona kama ujanja wa kuwapumbaza watu kwani mantiki yake imevurugwa kwa maksudi. Hata hivyo cha msingi hapa tusiangalie nyuma, tumeshahujumiwa, dawa ni kujiondoa maana kujiondoa kwenye hujuma hii ni bure. Mjulishe ndugu na rafiki yako tafadhali.
nimejaribu naona si kweli hakuna jambo kama hilo kuandika neno hapana kwenda namba ya simu 15016
ahsante sana[font="]kila mtanzania anayepiga simu mtandao wowote, asilimia kumi (10%) ya huo muda wa maongezi, fedha hizo zinaenda kuchangia kampeni za ccm. Kudhihirisha hili, mtu yeyote mwenye simu, chukua simu yako, nenda kwenye sehumu ya kuandika ujumbe mfupi (sms); kisha andika neno "hapana" na tuma ujumbe huo kwenda namba "15016." utapokea ujumbe huu [/font][font="]asante[/font][font="] kwa ujumbe wako, utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na ccm.[/font][font="]hii ni hujuma tunayofanyiwa watumiaji wa huduma za mawasiliano bila ridhaa yetu au kujulishwa hivyo na mamlaka ya mawasiliano tanzania (tcra).[/font]
[font="]kesho yake, [/font][font="]october 14,2010[/font][font="], [/font][font="] [/font][font="]nadhani baada ya wahusika kushtukia idadi ya watu watu wanaojiondoa kwenye huduma hii; na nilipokuwa najiondoa kwenye hujuma hii kwa kutumia lini yangu ya zain & zantel, nilipokea ujumbe huu [/font][font="]asante[/font][font="] kwa ujembe wako [/font][font="]kama[/font][font="] umeshiriki changia ushinde utaondolewa kwenye huduma. Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa ccm. ujumbe huu wa pili nauona [/font][font="]kama[/font][font="] ujanja wa kuwapumbaza watu kwani mantiki yake imevurugwa kwa maksudi. Hata hivyo cha msingi hapa tusiangalie nyuma, tumeshahujumiwa, dawa ni kujiondoa maana kujiondoa kwenye hujuma hii ni bure. Mjulishe ndugu na rafiki yako tafadhali. [/font][font="][/font]
Wale wale, wale waleuwongo labda simu yako ina kengeza!