analysti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 731
- 615
Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket.
Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa ajili ya malipo, mfumo unazunguka tu.
Ukisema uanze upya unakuta ile seat uliyokuwa umeichagua imekuwa labelled kama imeshachukuliwa. Train inajaa wakati watu hawajaweza kufanya malipo.
Hii ni hujuma kubwa dhidi ya juhudi za serikali za kuhakikisha usafiri unakuwa ni wa uhakika na wa haraka kwa ajili ya kukuza uchumi wa taifa.
Wito: Management ya SGR kama inashindwa kuendesha hili shirika, ni vyema wakajiuzulu ingali mapema kabisa, watanzania hatuko tayari kuona mradi huu unakufa huku tunaangalia.
Pia soma ~ TRC waomba radhi kutokana na tatizo la upatikanaji wa tiketi kwa njia ya mtandao usiku wa kuamkia Machi 19, 2025