Hujuma dhidi ya mikutano ya ACT-Wazalendo

chama cha misukule ya ayatollah Zitto kilio kimewajalia lazima mutaje chadema muweze kuishi
 
Kwanza kuna propanda imeanza kuenezwa na chadema kuwa kuna mgogoro baina ya Mwenyekiti wa chama taifa na kiongozi wa chama.Hapa ndipo ninawashangaa hawa chadema,kila kukicha chadema wimbo wao ni ACT- WAZALENDO.

Sakata la LIMBU ,Chadema walidhani wangefanikiwa kupitia LIMBU kila aina ya msaada walimpa LIMBU ili afanikiwe kuzamisha ngome ya ACT-WAZALENDO lkn walishindwa.Sasa wameanza kueneza utumbo mwingine na wenyewe umekwama. Sihitaji kueleza historia kubwa,nakumbuka MZEE MTEI aliwahi kusema kama ZITTO ana nguvu atoke akaanzishe chama chake,lkn ZITTO akawajibu atakuwa wa mwisho kutoka chadema na chadema kama wanataka wamfukuze wenyewe.

Chadema mwisho wake wakamfukuza ZITTO.ZITTO akaamua kujiunga na ACT-WAZALENDO japo wengine walitangulia akina MWIGAMBA,Prof.KITILA MKUMBO,,MWL.KAI JAGE. Hoja kubwa sasa,,Leo Chadema wameandaa mkakati na wameanza kusambaza sms kuwa ACT-WAZALENDO inajiandaa kuchukua wanachama wao kupitia mikutano mikubwa ya hadhara inayoanza hivi karibuni. Na chadema wameandaa vijana kuwafanyia ACT-WAZALENDO vurugu kama walivyofanya kipindi fulani MWANZA.

Hivi hawa Chadema wanafanya maamuzi ya kuwafukuzu akina Zitto hawakuona kama akina Zitto wanao kundi kubwa linalowaunga mkono na sasa wanasimamia mambo yao ndani ya chama chao cha ACT-WAZALENDO.
ACT-WAZALENDO wanapambana na mfumo mbovu wa CCM lkn Chadema makali yao yameelekea ACT-WAZALENDO.

Inamaana mfumo wa ACT ni Mitandaoni tu?

Je mbona uzalendo utakuwa mgumu kwa wengine kama mfumo ni wa kushinda kwenye Social Media?

Tanzania ya sasa ni ya Vitendo na siyo TOO MUCH NONSENSE TALKS AND ADVERTISEMENTS.
 
Chadema hawapendi kumuona zitto katika uwanja wa siasa wanatamani kumfuta kabisa natarajia vurugu sana kwenye mikutano ya ACT itayoanza hivi karibuni lakini tumejipanga kikamilifu kuwadhibiti vilivyo cdm tuacheni tufanye siasa
 
Kwanza kuna propanda imeanza kuenezwa na chadema kuwa kuna mgogoro baina ya Mwenyekiti wa chama taifa na kiongozi wa chama.Hapa ndipo ninawashangaa hawa chadema,kila kukicha chadema wimbo wao ni ACT- WAZALENDO.

Sakata la LIMBU ,Chadema walidhani wangefanikiwa kupitia LIMBU kila aina ya msaada walimpa LIMBU ili afanikiwe kuzamisha ngome ya ACT-WAZALENDO lkn walishindwa.Sasa wameanza kueneza utumbo mwingine na wenyewe umekwama. Sihitaji kueleza historia kubwa,nakumbuka MZEE MTEI aliwahi kusema kama ZITTO ana nguvu atoke akaanzishe chama chake,lkn ZITTO akawajibu atakuwa wa mwisho kutoka chadema na chadema kama wanataka wamfukuze wenyewe.

Chadema mwisho wake wakamfukuza ZITTO.ZITTO akaamua kujiunga na ACT-WAZALENDO japo wengine walitangulia akina MWIGAMBA,Prof.KITILA MKUMBO,,MWL.KAI JAGE. Hoja kubwa sasa,,Leo Chadema wameandaa mkakati na wameanza kusambaza sms kuwa ACT-WAZALENDO inajiandaa kuchukua wanachama wao kupitia mikutano mikubwa ya hadhara inayoanza hivi karibuni. Na chadema wameandaa vijana kuwafanyia ACT-WAZALENDO vurugu kama walivyofanya kipindi fulani MWANZA.

Hivi hawa Chadema wanafanya maamuzi ya kuwafukuzu akina Zitto hawakuona kama akina Zitto wanao kundi kubwa linalowaunga mkono na sasa wanasimamia mambo yao ndani ya chama chao cha ACT-WAZALENDO.
ACT-WAZALENDO wanapambana na mfumo mbovu wa CCM lkn Chadema makali yao yameelekea ACT-WAZALENDO.

Wewe naona umeamka na hangover za kiroba original,hivi kwa akili yako cdm inaweza kuhangaika na Vikoba/saccos yenye jina la act?
 
Wee mpya acha kutoa kinyesi hadharani!!!!
 
Tumechoshwa na huu upuuzi jamani
 
Hhahahahhahhahhaa kuihusisha Chadema na ACT ni upumbavu usiopimika
 
Bavicha bila matusi dah,mmelaaniwa sana Saccos yenu na wachaga wote mtaisoma namba mwaka huu,chama cha udini na ukabila kamwe hakiwezi ongoza nchi hio mnafaham acheni kunywa viroba asubuhi badala ya chai,jengeni hoja.

MASAO BWILE NA THOBIAS KIFARU nani zaidi
 
ni kweli kabisa chadema ni level ingine. Maana nimeona thread ingine huku ikielezea jinsi kibanda anavyothibitisha kutekwa na chadema. Ni nani tena anayeweza kufikia level yenu ya utekaji kwenye nchi hii?
akili zako zinakusaidia wewe mwenyewe tu
 
Back
Top Bottom