Hujachelewa timiza ndoto zako

Hujachelewa timiza ndoto zako

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,350
Reaction score
1,098
Hello guys i admired these people a lot respects to them, it is never to late to live your dream
1. katika umri wa miaka 41 christopher columbus alivumbua marekani
2. katika umri wa miaka 44 Marie curie alitunukiwa tuzo la nobel katika chemistry
3. katika umri wa miaka 49 Mario puzo alichapisha kitabu chake pendwa duniani ,the godfather
4. katika umri wa miaka 55 Alex hailey alichapisha kitabu chake chenye mvuto ,the root
5. katika umri wa miaka 59 Clara barton alianzisha RED CROSS
6. katika umri wa miaka 63 Francis galton alidhihirishia dunia hakuna watu wawili wenye fingerprints zinazzofanana( he revolutionized crime fighting in the process)
7. katika umri wa miaka 64 Oscar swahn alishinda medali ya dhahabu , in shooting
8. katika umri wa miaka 69 Mother Theresa alitunukiwa Noble peace prize
9. katika umri wa miaka 72 Atal bihari vajpayee amekuwa prime minister wa india
10. katika umri wa miaka 94 Leopold stokowski alisaini mkataba mpya wa kupiga music
11. katika umri wa miaka 100 Ichijirou Araya alipanda mlima Evarest
 
katika umri wa miaka ,.... Punde mh.., ..., atatwaa madaraka ya urais baada ya kuyasotea
 
Katika umri wa miaka 41 naweza kuwa fundi simu?
weka nia na ubunifu zaidi , unaweza ukashangaza watu. lakini uki copy na ku paste utaishia hivyo hivyo
 
Ktk umri wa miaka 67 wilbrod slaa atakuwa rais
 
katika umri wa miaka 74 yule mzee wa arusha atapokea shahada yake ya kwanza ya sheria katika chuo huria cha tanzania
 
Back
Top Bottom