Hujachelewa kuwa yule ungeweza kuwa

Hujachelewa kuwa yule ungeweza kuwa

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
7,335
Reaction score
18,714
Watu wengi sasa hivi wanalalamikia kuwa umri umeenda siwezi kufanya kitu fulani, umri umeenda hayo yaache yapite.

Kaka yangu, Dada yangu, Baba, Mama, Mdogo wangu bado hujachelewa kabisa.

Katika umri huo huo unaweza kufanya Jambo zuri litakaloshangaza watu.

Amua leo kuamua kufanikiwa katika masomo yako, Biashara katika ujenzi wa nyumba.
Bado hujachelewa kuwa yule anayetaka kuwa. Pambana.
 
20240725_080029.jpg
 
Asante mleta mada, binafsi navutiwa sana kusoma ila umri kidogo umeenda , karibu 40 sasa na sijuweza kuendelea zaidi ya darasa la saba.
Unadhani nitaweza kufanya kitu kama hicho?
Ndio maana kuna elimu ya watu wazima ukizingatia unafanikiwa vizuri sana. Bado hujachelewa. Kuna kitu Mungu amekuandalia.
 
Back
Top Bottom