Hugo domingo

Mwanasazi

JF-Expert Member
Aug 5, 2012
239
55
Jamani wana jamvi naombeni mnisaidie, mtu yeyote anayeifahamu hii kampuni ya hugo domingo naomba mnisaidie kunijuza kuhusu hii kampuni haswa kuhusu mishahara yao iko vipi?? Kuhusu security ya kazi hapo kwenye kampuni ??? na wako hapa mjini wana muda gani, wamiliki wa hii kampuni waki nani?? na mengine naombeni kunijuza katika kuhusu hiyo kampuni.
 
hugo domingo ni kampun inayohucka na mambo ya upambaji,kampuni hii wamiliki ni wahindi[hinduche],ipo posta mpya na kuhusu inamuda gani sifaham.mi nafanya kazi kama kibarua ukitaka kujua zaid nichek 0653957095.ahsante
 
Umepata kazi ya Hr walioitangaza nini mkuu?wahindi nomaaa boraa kuchoma vitumbua

eleza basi u noma wao ni nini ?? Mi nauliza na ww, unaweka mafumbo ? Wahindi na waajiri binafsi wote wanajulikana their after business and profit, kwa iyo ongea kinachoeleweka.
 
Back
Top Bottom