Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,294 Mar 6, 2013 #21 grafani11 said: Unamfundisha Mungu sehemu ya kuweka mavuno yake... Click to expand... Hapana mkuu, sithubutu kufanya hivyo, najaribu kusikitika tu kwa msiba huu mzito
grafani11 said: Unamfundisha Mungu sehemu ya kuweka mavuno yake... Click to expand... Hapana mkuu, sithubutu kufanya hivyo, najaribu kusikitika tu kwa msiba huu mzito
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Mar 6, 2013 #22 Kunta Kinte said: Hapana mkuu, sithubutu kufanya hivyo, najaribu kusikitika tu kwa msiba huu mzito Click to expand... Mkuu Kunta Kinte tupo pamoja na wenzetu hawa katika hiki kipindi kigumu cha maombolezo ya siku saba (07). Hata hivyo ni Mola tu ndiye atawapa faraja ya kweli.
Kunta Kinte said: Hapana mkuu, sithubutu kufanya hivyo, najaribu kusikitika tu kwa msiba huu mzito Click to expand... Mkuu Kunta Kinte tupo pamoja na wenzetu hawa katika hiki kipindi kigumu cha maombolezo ya siku saba (07). Hata hivyo ni Mola tu ndiye atawapa faraja ya kweli.
IGWE Platinum Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,744 Reaction score 8,187 Mar 6, 2013 #23 R.i.p my fallen hero.
B Bibigula Senior Member Joined Jul 15, 2012 Posts 141 Reaction score 27 Mar 6, 2013 #24 taamu said: wapo waachache kama hawa katika dunia ya leo Click to expand... Sana. I hope marais wengine wataiga mfano kutoka kwa. RIP
taamu said: wapo waachache kama hawa katika dunia ya leo Click to expand... Sana. I hope marais wengine wataiga mfano kutoka kwa. RIP
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Mar 6, 2013 #25 Surely...you will be missed.
MLATIE Senior Member Joined Apr 14, 2010 Posts 179 Reaction score 17 Mar 6, 2013 #26 Mwenyezi Mungu alaze mahali pema.dunia imepoteza jembe.
C Concious Senior Member Joined Feb 1, 2012 Posts 105 Reaction score 14 Mar 6, 2013 #27 mwenyezi MUNGU akurehemu kamanda
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Mar 7, 2013 #28 Bibigula said: Sana. I hope marais wengine wataiga mfano kutoka kwa. RIP Click to expand... kwa dunia ilivyo sifikirii kuwaona mkuu
Bibigula said: Sana. I hope marais wengine wataiga mfano kutoka kwa. RIP Click to expand... kwa dunia ilivyo sifikirii kuwaona mkuu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Mar 7, 2013 #29 Hivi kwanini sikuzote Makamanda wa Ukweli ndio hupatwa na Masaibu...? I wish ningeweza ku-appeal kwa Sir God kweli ningefanya hivyo
Hivi kwanini sikuzote Makamanda wa Ukweli ndio hupatwa na Masaibu...? I wish ningeweza ku-appeal kwa Sir God kweli ningefanya hivyo