Huendaa kitaa kuna kaba sana

Huendaa kitaa kuna kaba sana

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,120
Ebhana nimeamua kutoka leo nije kitaa maeneo flan hapa nipate upepo huku niagize chakula kizuri na kinywaji laini bwana...

Sasa jirani mmoja ambae meza yake haiko mbali na meza yangu bwana si kamuona manzi mhudumu naona kamaind ili sijui amle kimasiharaaa.

Bwana kamuita akae nae aongee naee bwanaaa basi huyu manzi naona hajafagilia swaga za Jirani angu hapa ambae meza yake haiko mbali na meza angu.

Sasa Jamaa akamwambia huyu dada basi isiwe ishu chukua jero hili hapaa agiza soda tukae wotee.

Manzi kachukua lile Jero kaweka ziwani hapa kina dada na mama mtakua mnaelewa jinsi mnavyo ficha pesa zenu kwenye maziwaa.

Basi yule manzi akawa anaendelea na huduma kuhudumia watejaa akikaa haji kwa mshkaji wake alie mpa Jero lake bhanaaa dah....!

Sasa Jombaaa akaona isiwe ishu cha kufia nini ikabidi amuite manzi amchanee oyaa mbona unazinguaaa....!!! nimekusaidia husaidikii vipi eeeh...???

Jamaa kamaindi hatarii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa yule manzi kaona isiwe ishu kama ni Jero lako ambayo ndo miatano hii hapaaa chukuaa bwanaa mambo ya siwe mengii.[emoji2955]

ebhanaa huyu jamaa sijui ni mzaramo dada kapewa maneno ya dharau huku mnaita sojui shombooo
Dada huyu asee katukanwaaa hata kuongeaa kashindwaaaa yaaan dah...!

Sasa mi nimefikiria huendaa kitaa kuna kaba sanaaaa ama shida ninii...???


Wakubwaa ukikosa ela basi uwe na kumlomoo nahisi unaweza ishiii.

Any way dada wawatu kapoaaa na jero karudishaa na matusi kibaooo[emoji2960]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nakuona hapo
JamiiForums-1460551311.jpg
 
Nikienda sehemu kwa ajili ya starehe yangu huwa nakuwa kipofu kwa muda naangalia kilichonipeleka na kuacha kisichonihusu! By the way wanaume hatufatilii mambo ya kike.
 
Nikienda sehemu kwa ajili ya starehe yangu huwa nakuwa kipofu kwa muda naangalia kilichonipeleka na kuacha kisichonihusu! By the way wanaume hatufatilii mambo ya kike.
Basi wewee hufai kuwa Intelligencia koz kitaalam popote unapo kaa lazima ujue mbele yako nyuma yako.

So huwezi kaa sehem kizembee na shari inatokeaa maana unaweza shambuliwa kizembe na chupa baada ya kumkosa mlengwa.

Alafu pia lazima ujue kuwa kupata taarifa pembeni ako hakumaanishi wewe sio mwanaume.

Any way naweza mwaga lulu kati kati ya Ngurue pori[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom