Sisi wanaume kuna watoto tunawapata bila kukusudia/bila kupenda

big dreamer

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
398
1,059
Samahanini nimeanza bila kuwasalimia,

Kuna jambo fulani kwenye jamii linaonekana kana kwamba sio tatizo lakini ni katatizo kanakotupata sisi baadhi ya vijana wa kiume.

Hipo hivi kuna sisi wanaume ambao tumefanana na mama zetu kidogo wengne tumepewa na rangi ya mama kidogo na kuna wale vijana ambao kwa kupambana kwao hasa miaka ya 20's anakuwa tayari ameshapata afueni ya kipesa au uhuru kabisa. Sasa linapokuja swala la uhusiano wa mapenzi sisi vijana wengi tunakuwa hatuna uelewa mpana,ujuzi mwingi na uzoefu ktk swala hilo na baada ya KUPITA UMRI HUO WA MIHEMKO TUNAJIKUTA KUNA MAMBO TUMEYAWEKA NDIVYO SIVYO.

Hapa nazungumzia vijana ambao hatujaonana bado, sasa ipo hivi kwa mfano mimi nilipoa ajiriwa tu nikiwa na miaka 24, basi na vile kidogo nimechukuwa sura ya mama, nikawa soap soap, smart kijana nanukia haswa,,na tupesa hatupigi chenga sana kiukwel nilijikuta kila demu ninae tupia ndoano aikatox akitai na kila mwanamke ananiuliza utanioa lini nayupo siriaz kweli kweli sasa kuna mwanamke mwingne coz hauna nia nae namdanganya kuwa nina mke yupo nyumbani kwetu sasa naomba uwe mchepuko tusogeze siku unakuta dem anakubali lakini mkishakuwa tu kwenye mahusiano anakuambia umuache huyo mke wako nimuoe yeye yani unakuta mpaka nashangaa (kunajamaa angu mmoja yeye alikuwa na mchepuko ananambia yule demu mchepuko wangu tunasogeza siku tu nae analijua hilo na amekubali sasa mimi huwa najiuliza anafanyaje mpaka dem anakubali kuwa mchepuko tu na dem ni bado binti tu na nashindwa pata jibu,,sasa leo sitajizungumzia sana mimi, kunajamaa zangu ntawapa story zao.

Kuna rafiki angu wa kwanza, huyu mshikaji yeye ni mwanajesh sasa unakuta anakuwa na demu (kiukwel unakuta ile time bado haujapata wife material sasa ili usibake/usife kwa genye ni lazma utafune mbususu (jina elekezi kwa jf) ) sasa kuna mwanamke wa kwanza alikuwa nae demu analazimisha apelekewe barua+mahali mshakaji anamzungusha tu yule manzi demu akaoneka ili atengeneze parmanent bond inabidi azae nae,,sasa Dem akafanya mafrekeche yake kweli goma likanasa, kitumbo hicho, bahati mbaya mshakaji akahamishwa Dem akabaki peke yake Dem akimpgia mshakaji cm siku nyngne anapokea anatuma ya matumiz cku Nyingne anakausha...na hii ishu imemtokea kwa wanawake wawili mpaka amekuja kuoa miaka minne iliyopita

Kuna rafiki yangu mwingne nae kachukuwa sura ya mama ,,pesa alikuwa hana sana ila ni brother men flani hivi,,,sasa huyu mshakaji alikuwa ananisimulia daah mwanamke flani yule hana akili kanambia yupo safe days bwana kumbe kanidanganya daah kashika mimba yangu daah mara pluu pah dem kajifungua mapacha vitoto vi beauty balaa aya kwa kuwa hakuwa na malengo ya kumuoa akamkazia kumuoa, bado anatafuta maisha akapita na dem mwingne mara paaap kitumbo hicho huyu mshakaji mpaka anachukuwa mwanamke anaetaka kumuoa tayari alikuwa na watoto si chini ya watano njee na saa hizi ameo

Yani ninawatu wengi ambao nimuona wamepitia ishu kama hii ndio maana kimenisukuma kuandika huu uzi hivyo SISI VIJANA WENYE MUNGU AMETUJAALIYA VIPATO KIDOGO KABLA YA KUOA, NA SISI AMBAO KIDOGO HATUNA SURA ZA KUWATISHIA WATOTO WAKIGOMA KUNYWA UJI tujichunge jamani hawa mabint wa siku hizi wanataka mbegu flani hizi amazing coz wanapenda vitoto fulani hizi, hii itakusaidia kupunguza watoto njee kabla ya ndoa maana ni mabint tu ndio ambao wanaolalamikaga wamezalishwa nyumbani ila kiukwel na sisi wanaume kuna watoto TUNAWAPATA BILA KUKUSUDI/BILA KUPENDA SISI coz mi naamini mwanamke anaejielewa hasa from 23> akiamua asizae na wew ataufanye nini hawez kuzaa na wew na akitaka kuzaa na wew atakulia trimming tu ukijichanga tu imekula kwako siku hiyo hiyo na akishazaliwa mtoto tu lazma uhudime baba

Tuishie hapo kwa leo uzi tayari
 
Samahanini nimeanza bila kuwasalimia,,,

Kuna jambo flani kwenye jamii linaonekana kana kwamba sio tatizo lakini ni katatizo kanakotupata sisi baadhi ya vijana wa kiume,,,
Hii ni kweli kabisaa, mwanamke akiamua kuzaa n'a wewe hauchomoi, n'a asipotaka hazai...wengine wanakuwa single mothers kwa hizi hesabu zao mbovu mbovu...za kutaka waolewe chap chap!
 
Hata wanaume walioko kwenye ndoa ni hivyo hivyo.

Ndio maana wanaume werevu akilazimika kuchepuka hachepuki na single mothers,

Atachepuka na mke wa mtu.

Kwa Mwanaume kuchepuka na mwanamke ambae hajaolewa na kuishi na Mwanaume ni hatari sababu wengi hulenga kuharibu ndoa ya Mwanaume anaechepuka naye ili yeye apewe kipaombele cha kuwa nafasi ya mke.

Lakini mwanamke ambae tayari ameolewa anaishi na mume wake atafuta pesa, au penzi tu lakini ni wachache sana watataka kupambana kuvunja ndoa.
 
Hata wanaume walioko kwenye ndoa ni hivyo hivyo.

Ndio maana wanaume werevu akilazimika kuchepuka hachepuki na single mothers,

Atachepuka na mke wa mtu.

Kwa Mwanaume kuchepuka na mwanamke ambae hajaolewa na kuishi na Mwanaume ni hatari sababu wengi hulenga kuharibu ndoa ya Mwanaume anaechepuka naye ili yeye apewe kipaombele cha kuwa nafasi ya mke.

Lakini mwanamke ambae tayari ameolewa anaishi na mume wake atafuta pesa, au penzi tu lakini ni wachache sana watataka kupambana kuvunja ndoa.
Shukurani kwa maujuzi mkuu ila napo mke wa mtu ni "one mistake one goal"
 
Back
Top Bottom