Huenda wengi wetu hatujui hili

Huenda wengi wetu hatujui hili

Huwa mbona tunaelewa hivyo ishu ni pale tunapoamua kuishi kwa kuviziana na kutegana , jumlisha gubu na kiburi inakuwa tatizo.
Ni muhimu kujali hisia za mwenzi wako huku ukizingatia kutokuwa mtumwa kwani binadamu wanatabia ya kutokuridhika.
They always need more and more, they can't have enough.
 
asakuta same

Yeah ni kweli ila pia ukitaka ndoa ama relationship yako ife kirahisi wewe endekeza GUBU ndani!
na kiburi sio kabisa ndani ya nyumba!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom