Pamoja na kwamba siungi mkono maandamano kwa kipindi hiki baada ya yale yaliyopita kuwa Political looting badala ya maandamano ILA nashauri Serikali iwekeze zaidi kwenye technologia; Kitendo cha kuzima Internet inaonesha tunatumia mifumo iliyopitwa na wakati
Wenzetu; Kukitokea changamoto wanazima mitandao ya kijamii ila wana acha mfumo wa email kwa ajili ya uendeshaji wa makampuni na mifumo mbalimbali ya serikali ya mawasiliano na kukusanya mapato; kwa sasa ukizima internet inamaana uchumi unasimama.....