Huenda makampuni yakaungana kuiangusha serikali ya CCM mwaka 2020!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Kama ambavyo yalimwangusha Kafulila 2015!
Mpaka kufikia 2020 makampuni binafsi yatakuwa yamepoteza mapato yanayokadiriwa kufikia trilioni ishirini za Kitanzania.
Na huenda yakaungana kuiong'oa serikali ya chama tawala ili kuruhusu mabadiliko ya sera yatayowezesha biashara zao kunawiri.
So by 2020 kitachoweza ing'oa serikali sio ukawa kama inavyodhaniwa, bali muunganiko wa chini chini wa makampuni binafsi...
 
Haiwezekani mkuu labda useme wazungu na wachina waamue.Kwa sasa tufanye tu kazi tuache kuota ndoto za mchana.Iwapo mtu anakupa live kwamba hana shamba na wala chakula cha bure,wakati wewe una njaa na bado unampa kura,unategemea mini hapo?
 
Hachaguliwi na wananchi anawekwa na tume na polisi na jeshi ndio maana anaropoka hovyo akijua hamna chakumfanya.
 
Kwq tume huru au uchaguzi huru MaCCM wanaangushwa asubuhi.
Kwenye kitongoji waliojiandikisha kupiga kura walikuwa watu 800+
CCM kura za maoni watu 200 hizo ni figure halisi.
Kama sio figisu MaCCM walikuwa chali mapema.
Jidanganye watu wamechokaaaa!!
 
Hii naiamini itatokea
Solidarity for business people
Kama ambavyo yalimwangusha Kafulila 2015!
Mpaka kufikia 2020 makampuni binafsi yatakuwa yamepoteza mapato yanayokadiriwa kufikia trilioni ishirini za Kitanzania.
Na huenda yakaungana kuiong'oa serikali ya chama tawala ili kuruhusu mabadiliko ya sera yatayowezesha biashara zao kunawiri.
So by 2020 kitachoweza ing'oa serikali sio ukawa kama inavyodhaniwa, bali muunganiko wa chini chini wa makampuni binafsi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish!
 
Back
Top Bottom