Huenda ikawa solution la wizi na upotevu wa simu

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,128
8,648
Kama umepoteza simu yako ya mkononi inaweza fuatiliwa na ukaipata.

Kila simu ina namba yake ya IMEI ambayo ni tofauti kabisa na simu nyingine. Hii ni namba ya kifaa cha kimataifa cha utambulisho ambacho huweza kutumika kufuatilia mahali simu ilipo popote ulimwenguni.

Hivi ndivyo inavyofanya kazi:

1. Piga *#06# kwenye simu yako.

2. Simu yako itakuonyesha takwimu 15 ambazo ni pekee na hakuna simu nyingine inazo.

Andika hii namba sehemu unapohifadhi vitu vyako muhimu isipokuwa kwenye simu yenyewe kwani hii ndiyo namba itakayokusaidia kufuatilia endapo simu yako imeibiwa.

4. Mara simu inapoibiwa nenda kwenye barua pepe na utume tarakimu hizi 15 za EMEI namba kwa cop@vsl.net pamoja na taarifa hizi zifuatazo:

Jina lako___________
Anuani_____________
Namba ya simu________
Kampuni iliyotengeneza simu__________
Namba ya mwisho kutumia____________
Barua pepe utumiayo kwa mawasiliano_______
Tarehe iliyopotea_______
IMEI namba_________

5. Hakuna haja ya kwenda polisi.

Simu yako itafuatiliwa ndani ya masaa 24 kupitia mfumo changamano wa GPRS na intaneti na simu yako itapatikana mahali ilipo ikitumika na namba ya simu ya mtu anayeitumia kwa wakati huo na vyote hivi vitatumwa kwako kupitia barua pepe yako na utavikuta.

Tuombe mungu iwe solution mie nishajaribu kutuma maana nimelizwa simu 2 mpaka sasa inauma mno
 
Wakishaiba wanaenda kuifungua na kuuza Spea.

USHAURI: Bora ukatafute shamba Mkuranga, ulime tikiti kuliko unayofanya Sasa.

Vijana tuache janja-janja, tufanye kazi
 
Siku ya mwaka mpya niliibiwa simu tecno16s na wakati huo ndo zimetoka, sikuwa nimeweka password kwa hiyo baada ya jamaa kuiiba akaenda kuingiza facebook;

sasakatika kuangalia account yangu ya Google hivi karibuni nikaona accounts zote zilizoungwa na hiyo Google yangu na ikiwemo Facebook account ya ya huyo jamaa aliyeingia siku mbili baada ya simu yangu kupotea.

kimazingira yeye ndiye mwizi wangu ila sikuwahi kwenda police, je nafanyaje kumtia hatiani illness ili hatimaye anilipe?
 
Mkuu hizo Imei bongo zinabadilishwa vizuri sana inapigwa nyingine ndo mtu anawasha simu. So Itunze simu yako mjomba. Labda uibiwe na mtu ambaye ajielewi.
 
Mm ukiniibia simu wewe nizidi mbio tuu hayo mengine siwezi kuhangaika nayo.
 
  • Thanks
Reactions: Ccc
Wakishaiba wanaenda kuifungua na kuuza Spea.
USHAURI: Bora ukatafute shamba Mkuranga, ulime tikiti kuliko unayofanya Sasa.
**Vijana tuache janja-janja, tufanye kazi
Still atakamatwa tu.
Usiende kwa fundi kubadili motherboard yako ikifa nunua simu nyingine.Utumbo utakowekewa kama ni simu iliibiwa huo utumbo utasoma kwenye simu yako kupitia imei yako.Utakamatwa utawaonyesha fundi,fund kipigo nae lzm atamtaja aliyemuuzia spare muuza spare atamtaja mwizi.
 
Mkuu hizo Imei bongo zinabadilishwa vizuri sana inapigwa nyingine ndo mtu anawasha simu. So Itunze simu yako mjomba. Labda uibiwe na mtu ambaye ajielewi.
Aisee mi mwenyewe nilichoka nilipogundua hiyo issue. Coz nilikuwa naamini sana kwenye IMEI. Yaani we acha tu.
 
ukiibiwa kupata ni majiliwa !.
unafahamu maana black market.
unafahamu maana ya mbinu za biashara.
unafahamu teknolojia na kukabili mbinu.

mengine siwezi kukueleza ni code za black market
 
Kama umepoteza simu yako ya mkononi inaweza fuatiliwa na ukaipata.

Kila simu ina namba yake ya IMEI ambayo ni tofauti kabisa na simu nyingine. Hii ni namba ya kifaa cha kimataifa cha utambulisho ambacho huweza kutumika kufuatilia mahali simu ilipo popote ulimwenguni.

Hivi ndivyo inavyofanya kazi:

1. Piga *#06# kwenye simu yako.

2. Simu yako itakuonyesha takwimu 15 ambazo ni pekee na hakuna simu nyingine inazo.

Andika hii namba sehemu unapohifadhi vitu vyako muhimu isipokuwa kwenye simu yenyewe kwani hii ndiyo namba itakayokusaidia kufuatilia endapo simu yako imeibiwa.

4. Mara simu inapoibiwa nenda kwenye barua pepe na utume tarakimu hizi 15 za EMEI namba kwa cop@vsl.net pamoja na taarifa hizi zifuatazo:

Jina lako___________
Anuani_____________
Namba ya simu________
Kampuni iliyotengeneza simu__________
Namba ya mwisho kutumia____________
Barua pepe utumiayo kwa mawasiliano_______
Tarehe iliyopotea_______
IMEI namba_________

5. Hakuna haja ya kwenda polisi.

Simu yako itafuatiliwa ndani ya masaa 24 kupitia mfumo changamano wa GPRS na intaneti na simu yako itapatikana mahali ilipo ikitumika na namba ya simu ya mtu anayeitumia kwa wakati huo na vyote hivi vitatumwa kwako kupitia barua pepe yako na utavikuta.

Tuombe mungu iwe solution mie nishajaribu kutuma maana nimelizwa simu 2 mpaka sasa inauma mno
Mbona inajibu ivi??
1636115794173.png
 
Back
Top Bottom