Huduma zote mtandaoni nchini Rwanda.

Huduma zote mtandaoni nchini Rwanda.

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450

Taasisi ya irembo, kwa muda sasa, imekuwa miongoni mwa watoa huduma wazuri mtandaoni, toka walipoanzisha mfumo wao miaka zaidi ya nane iliyopita. Mbali na kutoa huduma, pia mfumo wao unaruhusu kufanya malipo ya huduma. Kwa kutumia simu, huduma unayohitaji, unaweza ilipia chini ya dakika moja.

Mfumo huu, umejizolea umaarufu,baada ya kuepusha vitendo vya rushwa, kupoteza muda na hela kwa raia wanaohitaji huduma.
Kila sekta inayotoa huduma, inakuwa na rekods, hivyo alieomba huduma hana sababu ya kutembea na nyaraka mkononi. Ni nadra sana mtoa huduma na muomba huduma kukutana uso kwa uso.


Hongera kwa vijana waliobuni mfumo, kulisaidia taifa na kujiingizia kipato cha uhakika.
 
Back
Top Bottom