Dkt. Gwajima D
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 550
- 3,619
Ndugu Wananchi, nawasalimu kwa Jina la JMT
Nimekuwa nikipokea taarifa kutoka kwa baadhi ya wanajamii kuwa zipo changamoto na usumbufu ambao ni mtihani sana kupata huduma za mtoto wa kumlea malezi ya Kambo au Kuasili kiasi kwamba, eti baadhi wenye sifa na vibali wanakata tamaa huku watoto wenye sifa wapo na hawana huduma ya malezi.
Hivyo, natoa wito tafadhali wote waliokwama kupata huduma hiyo katika mazingira wanayodhani ni tatanishi, tafadhali haraka wanitumie ujumbe (sms) mimi mwenyewe Dkt. GwajimaD (Mb) Waziri wa MJJWM kwenye namba 0765345777 au 0734124191 Ili nipate watu kadhaa wenye stori za kuanzia Ili nielewe vizuri changamoto hii ilivyo halafu tunyooshe mambo.
Ahsanteni sana kwa kufuatilia taarifa za Wizara ya Jamii kupitia kurasa zake mbalimbali na pia kurasa zangu za kuanzia Jamii Forums, Instagram, Facebook, Twitter na TikTok ili kuelimishana na kubadilishana mawazo.
Karibuni, #Wizara ya Jamii Fahari ya Jamii#.