kweli kabisa kama kwenye betting wameweza kusimamia kwa kuweka makato ya 18% hivo hivo ingeingizwa kwenye hii biashara kama nchi za wenzetu wafanyavo kwao kujiuza ni halali kisheria endapo atasajiliwa na kupewa licence huku akilipa kodi kama itakiwavo