Huduma za changudoa

Unaweza kufanya mapenzi na mwasirika bila kondomu na usipate mambukizi kupata ukimwi ni ngumu sana siyo rahisi naamini kondomu ni salama kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa hivyo mbona watu wengi sana wangekuwa na ngoma
 
Aisee,nikiona stories za hivi huwa nawahurumia sana Wanadamu.Yaani mkuu unaliongea hili jambo as if ni jambo zuri na lisilo na shida yeyote mbele za Mungu.

Mkuu machangudoa wanayofanya si sahihi kabisa mbele za Mungu,na wengi wao wanajua.Sasa kuna tofauti gani ya changudoa na wewe unayeridhia na kwa hiyo kushiriki moja kwa moja katika uovu huo.It seems we have reached a point,where we cannot distinguish between good and evil.Very sad indeed,Mungu atuhurumie sana kwa kweli.
 
Hivi....Zile Difenda Zinazopitaga Kuwakusanya Usiku huwa Zinaishiaga Wapi?....Maana Baada Ya Hapo kesho Yake utakuta Wametanda mabarabarani...!
 
Ikiwa kwa dem unafuata tendo. Bac bora utafute ma dda poa
So tendo la dem na dada poa ni sawa?Dah,binadamu kwisha kabisa,hata wanyama hawajafika hapo.Umeshaona mnyama akimuingilia mnyama of the same sex,shameful indeed.
 
Noma sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…