Huduma za changudoa

Huduma za changudoa

superstar1

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
222
Reaction score
176
Habari wadau?

Kwa kifupi ni kwamba biashara ya wakina dada kujiuza kwa sasa imeshamiri karibu kila kona ya nchi na kati ya wateja ni viongozi wa serikali na wengine wengi hata waliopo kwenye dolla. Ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kuihalalisha kwa sababu pamoja na kuifanya illegal bado inashamiri kuliko biashara nyingi sana ambazo wakina dada/mama wanazifanya. Nchi kadhaa za Afrika wameamua kuruhusu baada ya kuona kuwa wanapoteza mapato mengi sana kwa kujaribu kuikwepa.

Hebu fikiria kidogo. Niliongea na dada mmoja (pale Sinza). Amepanga chumba guest house analipa sh.20,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 600,000. Kwa siku anapata wateja kati ya 3-8 wa short time ambao wanamlipa kati ya 10,000 mpaka 30,000 kutegemea na ushamba wa mteja (maneno yake). Akipata wa usiku wote ni 50,000-100,000. Sasa kama angelipa 30% as tax unaweza ona kwa kiasi gani serikali ingepata hela.

Jingine ni kwamba huduma wanayotoa inahitajika, ukikaa pale utaona watu wanavyofurika kuchukua wadada poa. Kila dakika kuna mtu anaingia au gari inaondoka na mmoja.

Ishu yangu sasa ni hii. Kama biashara hii ingeruhusiwa kungekuwa na huduma za call girls kibao, wengine tusingepata tabu ya kutafuta walipo. Tungepiga simu tu unaletewa mzigo mpaka unapotaka. Faida yake ni kwamba, kwanza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ingepungua!! Hawa mademu wa mtaani tunaofikiri ni decent ndio wanaotuua, kwa sababu anakuwa na wanaume kadhaa na sisi kwa kufikiri uko pekee, mkishakutana mara tatu nne unaacha kutumia kinga. (Wengi watajifanya hawajui ninachosema hapa lakini mioyo yao inawasuta).

Pili hawa mademu wa mtaani tunaowafanya wa kudumu ni very expensive kuwa-maintain, yet one day anakusaliti!!! Siwataki kabisa na nimeamua rasmi nikisikia muhemuko nachukua changudoa. (Wawili wamenilet down vibaya!! wa kwanza alishika mimba nikalea mpaka akajifungua miaka miwili baadae nikagundua mimba nilipakaziwa. wa pili nimedumu nae miaka minne sasa na yeye hivohivo - nitawapa story zao baada ya hili, yaani kama movie)

Nakaribisha maoni (na matusi kwa wale waliosomea). Sijali.
 
Dah ngoja nikutumie kwenye Pm kama uko serious ila yeye unalipia chumba kwanza kama utatumia chumba chake, amepanga Guest moja nzuri tu maeneo ya Mabibo. Yuko vizuri kwa kweli ila huwa akilewa anafanya mambo ya kijinga kidogo. Anaitwa Jack
 
Kitu chakuhalalisha ni unga bana unahela vibaya mno....

Hahahahahaaaaa nakubaliana na weee, juzi nilionyeshwa huo unga, aiseee Yaani ni kiduchu kweli jamaa anauza buku mbili. Nilitamani kupiga picha jamaa akamaind. Polisi nimewapigia weee hadi mkubwa wao lakini Mmmghhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom