Huduma za Bima,Tunakuja kukuhudumia hapo ulipo

Huduma za Bima,Tunakuja kukuhudumia hapo ulipo

MMOJA

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
445
Reaction score
260
Habari zenu Wana If,
Tunatoa Huduma za Bima zifuatazo
1.Bima za Magari/Vyombo vya moto
2.Bima za Afya
3.Bima za Safari
4.Bima za kusafirisha mizigo
5.Bima ya nyumba
6.Bima ya moto
7.Bima dhidi ya taaluma(Professional Indemnity)

Kwa huduma ya bima au maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0693347207
Tutakuhudumia kwa haraka zaidi
 
Mkianza kutoa Bima za maisha mnishtue
 
Habari zenu Wana If,
Tunatoa Huduma za Bima zifuatazo
1.Bima za Magari/Vyombo vya moto
2.Bima za Afya
3.Bima za Safari
4.Bima za kusafirisha mizigo
5.Bima ya nyumba
6.Bima ya moto
7.Bima dhidi ya taaluma(Professional Indemnity)

Kwa huduma ya bima au maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0693347207
Tutakuhudumia kwa haraka zaidi

Nyuzi za maana kama hizi hazipati wachagiaji, sjuwi wapi tunamis jamani
 
Nataka bima ya gari third part ila ya miez 6 na sio mwaka. Je nitapata
 
Mleta Mada Nogesha Tangazo Lako Kwa Kuelezea
Kila Aina Ya Bima Faida Na Hasara Ya Kutokuwa Nayo
Nakukumbusha Kuna Watu Wengi Sana Neno Bima Ndiyo Wanalisikia Kwa Mara Ya Kwanza.

Ukitoa Number Ya Simu Ya Mkononi Tu, Ukipigiwa Huenda Maongezi Yasijitosheleze Kama Utakavyoweka Maandishi Hapa. Kuna Wengine Wanaelewa Kidogo Sana Kuhusu Bima
 
Nitaanda uzi, kuelezea maana ya bima na faida zake katika jamii kwa ujumla.

Maana watanzania wengi hatujui faida za kuwa na bima , either General or life assurance.
 
Mnaweza kufuatilia claim kweli au mnaweza kukusanya ela tu?
 
Back
Top Bottom