Huduma ya utunzaji vyeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma ya utunzaji vyeti

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Katabazi, Nov 26, 2009.

 1. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana JF,
  Salaam.
  Naomba kujua ni njia ipi ambayo ni nzuri na salama kwa utunzaji wa VYETI AU NYARAKA haswa vyenye thamani kama degree kubwa na kuendelea,ili kuepuka vitu kama moto,kuloa au kuwa fainted au kama ni Tanzania kuliwa na panya etc.
  Hivi kuna banks,taasisi au kampuni zinazoweza kuwa zinatoa huduma hii hata kama ni kwa malipo?Maana wizi wa vyeti sasa umekuwa ni issue na nasikia sheria inawabana wote 2,aliyeibiwa na aliyeiba.
   
Loading...