bwaiseekwetu
Senior Member
- May 29, 2022
- 145
- 431
Mjumbe nimeku-pmMimi juzi nimetoka badili cheti Cha kuzaliwa jina nilimpa 30 nikamwambie jioni nataka cheti wakati kuna watu wanasota karibu mwaka
We nenda halmashauri kuna ofice za Rita
Sent using Jamii Forums mobile app
Omba online tu!! Tena simple kama unakibali cha Mazishi tuNataka nifuatilie Cheti cha Kifo cha mdogo wangu,sijui hata nianzie wapi[emoji134]ningepata mfanyakazi wa RITA akanisaidia kwa uharaka kisha nikampoza ningefurahi sana,tafadhali Matapeli msidhani hii ni fursa ya kunipigia,ooohh
Kupata baada ya muda gani ?Omba online tu!! Tena simple kama unakibali cha Mazishi tu
Hovyo sanaKuna kaukweli niliwahi kumsindikiza jirani yangu, aisee alizungushwa hadi sio poa na kuna muhudumu mmoja hivi ana majibu ya nyodo
Tabu kwelikweliTaasisi nyingi za kiserikali zinafanya kazi kwa mazoea na kivivu sana. Huduma zinazotoka ni bora liende.
Niliwai enda taasisi fulani kufata fomu fulani unaambia fomu huwa inatolewa mwisho saa 4. Utasema baada ya saa 4 iyo fomu inakua sio part ya ofisi
Huyo lazima atakuwa wakike mimi nimemkariri mpaka sura na kuna mshikaji wangu hivyo hivyo alizinguliwa na muhudumu huyo.Kuna kaukweli niliwahi kumsindikiza jirani yangu, aisee alizungushwa hadi sio poa na kuna muhudumu mmoja hivi ana majibu ya nyodo
Ndio maana mimi nilitumia njia ya mchongo kupata cheti cha kuzaliwa sikupenda kuzungushwa na kunyenyekea kama unaomba uhai ,nilimpa mtu tangazo pamoja na misimbazi kadhaa wiki tu kila kitu tayari hakuna matata.Kuna kaukweli niliwahi kumsindikiza jirani yangu, aisee alizungushwa hadi sio poa na kuna muhudumu mmoja hivi ana majibu ya nyodo
Unavyoona hii njia ni suluhisho?Ndio maana mimi nilitumia njia ya mchongo kupata cheti cha kuzaliwa sikupenda kuzungushwa na kunyenyekea kama unaomba uhai ,nilimpa mtu tangazo pamoja na misimbazi kadhaa wiki tu kila kitu tayari hakuna matata.
kumbe unafahamu milolongo yaoNdio maana mimi nilitumia njia ya mchongo kupata cheti cha kuzaliwa sikupenda kuzungushwa na kunyenyekea kama unaomba uhai ,nilimpa mtu tangazo pamoja na misimbazi kadhaa wiki tu kila kitu tayari hakuna matata.
Hapana ,ila niliokoa muda tu na kuzungushana na sikufanya janja janja sababu kiambatanisho cha kupata cheti nilikuwa nacho .Unavyoona hii njia ni suluhisho?
wa kike ndiyo aisee umeona eeHuyo lazima atakuwa wakike mimi nimemkariri mpaka sura na kuna mshikaji wangu hivyo hivyo alizinguliwa na muhudumu huyo.
Uanauke siyo tatizo, kwanza mwanamke anatulia zaidi kwenye kiti kuliko wa kiume! Shida ni uwezo mdogowa kike ndiyo aisee umeona ee
Nakubaliana naweUanauke siyo tatizo, kwanza mwanamke anatulia zaidi kwenye kiti kuliko wa kiume! Shida ni uwezo mdogo
Ofisi ni mbovu, na watendaji sehemu kubwa ni wabovuNakubaliana nawe
SahihiOfisi ni mbovu, na watendaji sehemu kubwa ni wabovu