Kwa utaratibu wao huu wa kizamani cheti utakipata baada ya miezi 6 tena kikiwa kimekosewaWatusogezee huduma serikali za mitaa kukusanya taarifa za wanaotafuta vyeti
Wanaajili watu wasiyo sahihiTaasisi zote za serikali kwenye kuandika taarifa za mtu lazima watakosea....
Hata uwaachie taarifa zako siku ukienda chukua kitambulisho au cheti nk,dosari lazima itakuwepo
Wanauzembe fulani na kufanya kazi kwa mazoea
Mpe taarifa zako mzungu sasa hutaona kasoro
Ova
Bahati yako tumestaafu hizo shuguli za madokoma,ningekula hela yako kma upepo(joke)Nataka nifuatilie Cheti cha Kifo cha mdogo wangu,sijui hata nianzie wapi[emoji134]ningepata mfanyakazi wa RITA akanisaidia kwa uharaka kisha nikampoza ningefurahi sana,tafadhali Matapeli msidhani hii ni fursa ya kunipigia,ooohh
Mtihani sanaRita ni jipu
Kupata utapata shida usahihi wa taarifa ndo majangaNataka nifuatilie Cheti cha Kifo cha mdogo wangu,sijui hata nianzie wapi[emoji134]ningepata mfanyakazi wa RITA akanisaidia kwa uharaka kisha nikampoza ningefurahi sana,tafadhali Matapeli msidhani hii ni fursa ya kunipigia,ooohh
Kwa network ipi waliyonayoApply online wewe,huko tulishatoka mda mrefu
Death Certificate inaombwa online au??mimi nataka mtu wa ndani RITA nimpe majina ashughulikie fasta kesho nikachukue nimpoze ya Wine,habari za nenda rudi kesho au keshokutwa sijui hakuna network sina muda kabisaApply online wewe,huko tulishatoka mda mrefu
Nenda halmashauri mtafute muhasibu wa halmashauri Ela ya soda ten tu unskipata siku hio hioNataka nifuatilie Cheti cha Kifo cha mdogo wangu,sijui hata nianzie wapi[emoji134]ningepata mfanyakazi wa RITA akanisaidia kwa uharaka kisha nikampoza ningefurahi sana,tafadhali Matapeli msidhani hii ni fursa ya kunipigia,ooohh
Mtu alifia kijijini huko hakuna hata Dispensary wala Ofisi ya Serikali ya Kijiji hiko kibali cha Mazishi kitatoka wapi!!!kuhifadhi mwili tu usiharibike inabidi mtandaze chumvi chini na majani kwa juu kisha mnaulaza mwiliBahati yako tumestaafu hizo shuguli za madokoma,ningekula hela yako kma upepo(joke)
We nenda Rita si una kibali cha mazishi,na taarifa za marehemu
Huna haja ya kumpoza mtu,we ikingia
Hapo kifua mbele tu
Ova
Napata Death Certificate kwenye Ofisi za Halmashauri au sijakuelewa ndugu?? ufafanuzi tafadhaliNenda halmashauri mtafute muhasibu wa halmashauri Ela ya soda ten tu unskipata siku hio hio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi juzi nimetoka badili cheti Cha kuzaliwa jina nilimpa 30 nikamwambie jioni nataka cheti wakati kuna watu wanasota karibu mwakaNapata Death Certificate kwenye Ofisi za Halmashauri au sijakuelewa ndugu?? ufafanuzi tafadhali
Na sana sana ni wadada ndio wenye changamoto kubwa ukimkuta asubuhi ofisini kachoka hata kabla ya kuanza kazi mara kuchat mara kubinua midomo yani tabu tupu na anajua Huna cha kumfanya kama ajila keshapata tena SerikaliniTaasisi zote za serikali kwenye kuandika taarifa za mtu lazima watakosea....
Hata uwaachie taarifa zako siku ukienda chukua kitambulisho au cheti nk,dosari lazima itakuwepo
Wanauzembe fulani na kufanya kazi kwa mazoea
Mpe taarifa zako mzungu sasa hutaona kasoro
Ova