lowale
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 209
- 109
Ni nzuri sana hasa ukiangalia kuwa hapa Tanzania unaweza kuenda hospitali tokea asubuhi hadi jioni unapopata nafasi ya kumuona dr anakuandikia panadol .je hiyo ungeweza mpata dr online ungeserve sh ngapi kwa siku hiho?kumbuka msururu unaokuwepo hospitali kumbuka foleni unazopitia kumbuka kazi za nyumbani umeacha kuzifanya