Huduma ya NMB mobile. Msaada please!

Huduma ya NMB mobile. Msaada please!

Malolella

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
366
Reaction score
114
Wadau mimi nim2miaji wa Nmb mobile kwamuda mrefu na nimekuwa nikihamisha pesa toka kwenye ac yangu kwenda kwnye m pesa. Jana nimehamisha pesa kwenda kwnye lineyangu(m pesa), chaajabu msg haijarudi na salio limepungua kwnye account, pia kwenye m pesa hela haijaingia. Naombeni msaada wenu tafadhali.
 
Mi nafikiri kuwa NMB na VODACOM ndio wangekupa msaada stahiki hivyo fanya mawasiliano nao.
 
cheki nao wote Vodacom na NMB. Ni vema ukaenda ofisi zao personally kuliko kupiga simu
 
Wadau mimi nim2miaji wa Nmb mobile kwamuda mrefu na nimekuwa nikihamisha pesa toka kwenye ac yangu kwenda kwnye m pesa. Jana nimehamisha pesa kwenda kwnye lineyangu(m pesa), chaajabu msg haijarudi na salio limepungua kwnye account, pia kwenye m pesa hela haijaingia. Naombeni msaada wenu tafadhali.
Ndugu yangu usijaribu hizi huduma simu za benk.Juzi CRDB wameiba hela yangu sh 200,000 kwa utaratibu huu huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom