Dr Faustine Ndugulile
R I P
- Jul 16, 2012
- 251
- 439
Ninataka kutengeneza micro SIM card kwa ajili ya laini ya Airtel. Wapi huduma hii inapatikana na gharama zake zikoje? Ahsante.
Kaka just tafuta mtu mwenye micro sim card,,iweke juu ya line yako then tumia mkasi kuifuatilia jinsi ya kuikata,,problem solved no need ya kutumia ela
samahani wadau, naombeni kujua hiyo micro simcard inafanya kazi kwa style gani?