Wizara ya Maji
Govt Institution
- Oct 2, 2024
- 33
- 20
Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi,salama na yenyekutosheleza Kama huu sio utapeli,peleka maji safi na salama,vijiji vya ,Itumbi na Matondo,Kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya,Mkoa wa Mbeya.Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026.
Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo havijapata miundombinu umeanza na kasi iongozwe zaidi ambapo hivi sasa vijiji 400 katika mikoa mbalimbali vinajengewa miradi miongoni mwa vijiji 1,575. Kazi hiyo inafanyika kwa awamu.
Amesema yapo mambo ambayo amebaini yanahitaji suluhu ya haraka katika ukaguzi wa miradi aliyofanya, hivyo amewapa kazi wataalam wa maeneo hayo katika siku zisizozidi 30 kupata majibu ili wananchi waanze kunufaika na miradi ya maji.
Mhe. Aweso, kuhusu uhaba wa maji katika baadhi ya maeneo ya miji nchini ametaka kufanyika kwa mpango wa dharura wa kuleta ahueni kwa wateja na mgao ukifanyika uwe wa uhalisia na muda wa kutosha.
Amesema maeneo korofi yote yanatambulika hivyo ni lazima kuyapa muarobaini ili kuwapa wateja wa maji unafuu wa kupata huduma hiyo.
well done wizara ya majiSerikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026.
Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo havijapata miundombinu umeanza na kasi iongozwe zaidi ambapo hivi sasa vijiji 400 katika mikoa mbalimbali vinajengewa miradi miongoni mwa vijiji 1,575. Kazi hiyo inafanyika kwa awamu.
Amesema yapo mambo ambayo amebaini yanahitaji suluhu ya haraka katika ukaguzi wa miradi aliyofanya, hivyo amewapa kazi wataalam wa maeneo hayo katika siku zisizozidi 30 kupata majibu ili wananchi waanze kunufaika na miradi ya maji.
Mhe. Aweso, kuhusu uhaba wa maji katika baadhi ya maeneo ya miji nchini ametaka kufanyika kwa mpango wa dharura wa kuleta ahueni kwa wateja na mgao ukifanyika uwe wa uhalisia na muda wa kutosha.
Amesema maeneo korofi yote yanatambulika hivyo ni lazima kuyapa muarobaini ili kuwapa wateja wa maji unafuu wa kupata huduma hiyo.
Tabata tu hakuna maji ije kuwa huko vijijini. Au ndio mnasubiria mvua zinyeshe mtoe maji baada ya hapo maji Moja mara mweziwell done wizara ya maji
tabata maji yametoka j5 na alhamisi, kulingana na ratiba yao ingawa sijajua wewe upo tabata ipi, nadhani hata ninapoandika ujumbe huu kuna mahali tabata maji yanatoka vizuri tu gentleman.Tabata tu hakuna maji ije kuwa huko vijijini. Au ndio mnasubiria mvua zinyeshe mtoe maji baada ya hapo maji Moja mara mwezi
Hiyo jumatano yatakayitoka ujue ni saa nane usiku, kwamba mchana upigwe na jua usiku uweke alarm ya saa nane ya kuchota maji ukipitiwa imeisha hiyo kwa wiki hiyo na wiki ijayo yasipotoka tabu Iko pale paletabata maji yametoka j5 na alhamisi, kulingana na ratiba yao ingawa sijajua wewe upo tabata ipi, nadhani hata ninapoandika ujumbe huu kuna mahali tabata maji yanatoka vizuri tu gentleman.
ni muhimu sana kuzingatia ratiba ya maji eneo lako na itapendeza zaidi
Isije ikawa zilonga mbali zitendwa mbali.Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026.
Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo havijapata miundombinu umeanza na kasi iongozwe zaidi ambapo hivi sasa vijiji 400 katika mikoa mbalimbali vinajengewa miradi miongoni mwa vijiji 1,575. Kazi hiyo inafanyika kwa awamu.
Amesema yapo mambo ambayo amebaini yanahitaji suluhu ya haraka katika ukaguzi wa miradi aliyofanya, hivyo amewapa kazi wataalam wa maeneo hayo katika siku zisizozidi 30 kupata majibu ili wananchi waanze kunufaika na miradi ya maji.
Mhe. Aweso, kuhusu uhaba wa maji katika baadhi ya maeneo ya miji nchini ametaka kufanyika kwa mpango wa dharura wa kuleta ahueni kwa wateja na mgao ukifanyika uwe wa uhalisia na muda wa kutosha.
Amesema maeneo korofi yote yanatambulika hivyo ni lazima kuyapa muarobaini ili kuwapa wateja wa maji unafuu wa kupata huduma hiyo.
Lakini ndugu mdau,Hiyo jumatano yatakayitoka ujue ni saa nane usiku, kwamba mchana upigwe na jua usiku uweke alarm ya saa nane ya kuchota maji ukipitiwa imeisha hiyo kwa wiki hiyo na wiki ijayo yasipotoka tabu Iko pale pale
Hayo maji ya ratiba bado hakuna utendaji kazi acha kusifia ujinga
MICHESE zinje hapo Dodoma mjini watu wanateseka hakuna maji wakati bomba linalotoa maji kule kwenye visima vya zuzu limepita kwenye makazi ya watu wa MICHESESerikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026.
Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo havijapata miundombinu umeanza na kasi iongozwe zaidi ambapo hivi sasa vijiji 400 katika mikoa mbalimbali vinajengewa miradi miongoni mwa vijiji 1,575. Kazi hiyo inafanyika kwa awamu.
Amesema yapo mambo ambayo amebaini yanahitaji suluhu ya haraka katika ukaguzi wa miradi aliyofanya, hivyo amewapa kazi wataalam wa maeneo hayo katika siku zisizozidi 30 kupata majibu ili wananchi waanze kunufaika na miradi ya maji.
Mhe. Aweso, kuhusu uhaba wa maji katika baadhi ya maeneo ya miji nchini ametaka kufanyika kwa mpango wa dharura wa kuleta ahueni kwa wateja na mgao ukifanyika uwe wa uhalisia na muda wa kutosha.
Amesema maeneo korofi yote yanatambulika hivyo ni lazima kuyapa muarobaini ili kuwapa wateja wa maji unafuu wa kupata huduma hiyo.
mbwa takataka,miaka 60+watu wenye akili wanarusha rockets mars niñyi wasenge kazi ya kutandaza bomba za maji safi kwa wananchi tu imewashinda mbwa ninyiSerikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.