Huduma ya M-PESA

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,316
Wanajukwaa habari ya muda,

Naomba kuuliza, huduma ya mpesa unakuwa na line moja ya kazi au lazima uwe na laini mbili

Mwenye ufahamu tafadhali anijulishe
 
Back
Top Bottom