Huduma ya kupandikiza mimba Muhimbili

Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
4,106
2,000
Jaman Mume ninae na hana tatizo ...tatizo mirija yangu ya uzazi imeharibika haiwez kupitisha mbegu
Hapo jipangeni tu mtafte fund ya kutosha mwende nje ya Tanzania nais huko huduma itapatikana kwa urahis, ikishindikana kwako kupandikizwa unaweza tafta mtu akawabebea ujauzito (surrogate mother) mkamlipa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom