Matatu za Kenya sasa zinatoa huduma za internate kwa abiria free. Ukipanda unatoa sim yako unaunganisha unaendele kubrowse. hii iko poa hata hapa nyumbani ikiwepo na hii folen itakuwa poa. ah,ila midaladala yetu inajaza sana
Siku hizi matatu zimeacha kujaza watu kama ilivyokuwa zamani?! Manake kama hali bado ipo vile vile sioni ni namna gani mtu ataweza ku-access hiyo internet, au kwa wale watakowahi viti!!?
Siku hizi matatu zimeacha kujaza watu kama ilivyokuwa zamani?! Manake kama hali bado ipo vile vile sioni ni namna gani mtu ataweza ku-access hiyo internet, au kwa wale watakowahi viti!!?
Dah hii ipo vizuri aisee !!!
Bongo waanzishe hii huduma route za Goba-Kariakoo,Mbezi-Kariakoo,Mbagala-Kariakoo then ule mpango wa level seat urudi yaani unaunga mpakato wako bila bughza mbona karaha ya foleni tutaisahau kwa muda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.