Huduma ya Editing

Huduma ya Editing

Mwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,967
Je unahitaji huduma ua editing kwa ubora na uharaka wasiliana na mwenye simu namba. 0712000998, beimaelewano.
 
Kama unashindwa kuedit sentensi yako moja tu hii utaedit kazi za watu kweli?
 
Umesoma sentensi yote kweli I quote ' mwenye simu namba 0712000998' ndiye anaeedit ameniomba nimuwekee tangazo. Amekwishaanzapigiwa simu na wahitaji. Asante.
c
 
una edit nini

Reports, letter et.c.za kiingereza wasiliana na mwenye namba nliyotaa hapo juu. ( 0712000998) wengi walioelewa wameanza mtafuta kupata huduma hiyo. Asante.
 
Umesoma sentensi yote kweli I quote ' mwenye simu namba 0712000998' ndiye anaeedit ameniomba nimuwekee tangazo. Amekwishaanzapigiwa simu na wahitaji. Asante.
c

kila la heri, isijekuwa simu zinauliza tu "muvi unaedit shngapi?", tangazo linatakiwa lijipambanue. kila la heri kwa "mhusika".
 
Kuelewa nako ni tatizo.
Inaelekea mleta mada hajui mapana ya neno 'Edit',
Kibaya zaidi hataki kuleweshwa,
Ni tabu, ila ukishalifahamu hilo unaendelea na yako.
 
Je unahitaji huduma ua editing kwa ubora na uharaka wasiliana na mwenye simu namba. 0712000998, beimaelewano.

Tafti zinaonesha watanzania sio kwamba tunashindwa kufanya vitu, ila tunashindwa kueleza kwa ufanisi vile tunavyoweza kuvifanya.

Katika hali ya kawaida atokee Mkenya aeleze bayana ana edit nn, kwa garama gani, kwa muda gani, kwa technlonolojia ipi na porojo mbili, tatu hivi unadhani kuna atakayekufikiria wewe na sentensi zako mbili ulizoshindwa kuzi-edit zikaeleweka?

Una edit nn ikiwa kuedit sentensi 2 ulizoziandika mwenyewe zinakushinda?

Proud of ur ability mkuu things aint easy that way.
 
He ndugu hebu acha kukurupuka. Sentensi mbili zinanishinda nini? Wengine hatuna haja ya kuwaste time kutumia maneno meeengi kama uliyotumia. Kwanzaaa huaelwa kuwa hiyo service siianyi mimi bal ni mtu mwenye namba niliyoweka. Hicho kidogo tu umeshindwa kuelewa. Walioelewa kwa maneno hayo mafupi wameanza kutumia service kama huiihitaji huna haja ya kutokwa na povu! Na sijui hapo akeny wanakujaje unawasema wakenya wanaendelea kwa kuthubutu!
 
Nadhani anatoa huduma ya ku delete[/QUOTE

Soma vizuri Tangazo usikurupuke. Wene shida wameshamcontact muhusika aliyenituma.

Kumbe uliyetumwa ndo tatizo anyway isiwe mbishi tangazo linatakiwa lijibu maswali ya msingi simu ni gharama nyingine ambazo mtu hatakiwa ku incur pasipo ulizima hasa kama tangazo limejitosheleza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom