Huduma ya Editing

Huduma ya Editing

Umesoma sentensi yote kweli I quote ' mwenye simu namba 0712000998' ndiye anaeedit ameniomba nimuwekee tangazo. Amekwishaanzapigiwa simu na wahitaji. Asante.
c

kaka hata kama umetumwa umekosea hilo tangazo na unapodai kaanza kupigiwa simu bado anapigiwa kwa kuuliza kuwa ana edit nini,edit ina maana pana na inatumika kwa mambo mbalimbali kuna editors/kuedit/kuhariri habari,maandishi /lugha /madodoso si umeona hata ukikosea kuandika kitu unaposahihisha ndio kuedit kwenyewe n.k.Pia kuna kuedit picha kwa kutumia software kama LR,Adobe n.k sasa utwaambie huyu mtu wako aliyekutuma ana edit kitu gani?ukiulizwa au ukikosea usiwe mkali .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom