Huduma ya Cable television inapatikana DSM?

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,413
Wadau,

Nimetembea mikoa mingi ya Tanzania na huduma ya cable television ni common sana na ni cheap kwa maana nyingine, naomba kufahamu je huduma hii hapa DSM ipo? Na kama haipo ni kwa nini, nafanya utafiti fulani kwenye area hii ili ikiwezekana niweze kuwekeza eneo hili.

Naomba majibu yenu wadau
 
Ipo maeneo ya Upanga huko na Kkoo.

Ila uswazi kama Tandale kwa Mkunduge hamna.
 
Back
Top Bottom