Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Nokia Lumia 520

  • Cost yake ni TSH 75,000/- tu
  • Waiting time ya UNLOCK CODES ni siku za kazi 7 hadi 18 [ hii ni online order USA ]
  • Karibu
Mkuu, ni Nokia Lumia 520, lucked with AT&T-USA, IMEI No. 356696056008563

Asante Mkuu
 
  • Kwa verizon USA andaa tsh 175,000 kwa ajiri ya unlocking
  • ila hakikisha anakupa taarifa zote za hiyo simu. Apple product zao huwa zinasumbua iwapo hutakuwa na taarifa zake mfano apple IDs [ /username or password kwa ajiri ya itune/ icloud]

mh... hapo ni pamoja na nauli au? gharama hiyo usidanganye watu wakat kuna simu unaUnlock hadi kwa dola 10. nakumbuka Godfrey Electronics aliwahi kuUnlick simu ya jamaa yangu kwa dola 2.99 nashuhudia. Acha kutisha watu gharama yote hiyo. Vinginevyo wewe ni mwizi
 
Last edited by a moderator:
  • Mkuu Unazungumzia simu nyengine na si IPHONE, hebu nitafutie huyo jamaa mi nitakuwa namlipa dola 50 kwa kila iphone moja achana na hiyo dola 2.99 unayosema wewe
  • Hiyo dola 2.99 ni cost ya ku unlock modems ndugu, na kama ni simu itakuwa nokia ya tochi
  • Kwa taarifa yako tu iphone unlocking zinafika mpaka 250,000 sijakose ndio ni LAKI MBILI NA NUSU fanya utafiti utakubaliana na mimi.
  • Cha kusikitisha ni kwamba wajaribu kutolea maelezo kitu usichokijua
  • Karibu
 
vp Nokia lumia 521 kutika USA. bei gani ku unlock
 
vp Nokia lumia 521 kutika USA. bei gani ku unlock
  • Je ipo locked kwa Network ipi , Kumbuka Network locked ndio hutupatia ya cost ya NCK unlock codes
 
  • Ni tsh 30,000/- tu
  • Utapata unolck codes zitakayoifanya simu yako itumie mtandao wowote ule
  • KARIBU
naomba msaada huawei yanu inatumia line moja tu ya tigo please i need your help jamii wenzangu
 

ok, hapo nimekuelewa kwa maelezo yako. Ila hiyo dola 2.99 ilikuwa smartphone full tachi na sio Nokia ya Tochi.
Vp kuhusu simu zenye Contract? nazo unaUnlock?
 
  • Tumia moja kati ya namba zangu hapo juu ili kufanya malipo
  • Kisha nijulishe kwa sms kuwa umefanya malipo, ili order yako ifanyiwe kazi.
  • KARIBU
868438012725993
868438012725993
huawei ascend y300
 
Mkuu iPhone 4S locked to Rogers, Bell and Telus tibabu ipo!?
 
Mkuu nina Nokia lumia 1520 imetoka uk iko locked by AT&T je unaweza kuinlock pia?
 
mkuu Vodafone 785
imei: 359729055954318
network locked-emergency calls only...nipe tathimini hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ